1 Mambo ya Nyakati 15:29
1 Mambo ya Nyakati 15:29 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Sanduku la Agano la BWANA lilipokuwa linaingia Mji wa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani. Naye alipomwona Mfalme Daudi akicheza na kusherehekea, akamdharau moyoni mwake.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 151 Mambo ya Nyakati 15:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipokuwa linaingia katika mji wa Daudi, Mikali, binti Shauli, alichungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi akicheza na kushangilia, basi akamdharau moyoni mwake.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 151 Mambo ya Nyakati 15:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ikawa, sanduku la Agano la BWANA lilipofika mjini kwa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi, akicheza na kushangilia; akamdharau moyoni mwake.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 15