1 Mambo ya Nyakati 14:15
1 Mambo ya Nyakati 14:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Na mara utakaposikia vishindo vya gwaride kwenye vilele vya hiyo miforosadi, haya, toka uende vitani. Nitakuwa nimekwisha kukutangulia kulipiga jeshi la Wafilisti.”
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 141 Mambo ya Nyakati 14:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha itakuwa utakapoisikia sauti ya kwenda katika vilele vya miforsadi, ndipo utakapokwenda nje vitani; kwa maana ndipo Mungu ametoka mbele yako, awapige jeshi la Wafilisti.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 14