1 Mambo ya Nyakati 13:8
1 Mambo ya Nyakati 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Daudi na Waisraeli wote wakawa wanacheza kwa nguvu zao zote, mbele ya Mungu. Waliimba huku wanapiga ala za muziki zilizotengenezwa kwa mvinje: Vinubi, vinanda, matari, matoazi na tarumbeta.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 131 Mambo ya Nyakati 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakacheza Daudi na Israeli wote, mbele za Mungu, kwa nguvu zao zote; na kwa nyimbo na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa matoazi, na kwa tarumbeta.
Shirikisha
Soma 1 Mambo ya Nyakati 13