Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 24:3-4

Zaburi 24:3-4 BHN

Nani atakayepanda mlima wa Mwenyezi-Mungu? Nani atakayekaa katika hekalu lake takatifu? Ni mtu wa matendo mema na moyo safi, asiyeuelekeza moyo wake katika upuuzi, wala kuapa kwa uongo.

Soma Zaburi 24