Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 3:9-10

Methali 3:9-10 BHN

Mheshimu Mwenyezi-Mungu kwa mali yako, na kwa malimbuko ya mazao yako yote. Hapo ghala zako zitajaa nafaka, na mapipa yako yatafurika divai mpya.

Soma Methali 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Methali 3:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha