Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 17:2-3

Methali 17:2-3 BHN

Mtumwa mwenye busara atachukua nafasi ya mwana mpumbavu, atapata sehemu ya urithi wa jamaa hiyo. Ubora wa dhahabu ama fedha hupimwa kwa moto, lakini Mwenyezi-Mungu ndiye apimaye mioyo ya watu.

Soma Methali 17