Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 6:19-20

Yohane 6:19-20 BHN

Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana. Yesu akawaambia, “Ni mimi, msiogope!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 6:19-20

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha