Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:34-35

Yeremia 23:34-35 BHN

Tena nabii au kuhani, au mtu yeyote atakayesema ‘Mzigo wa Mwenyezi-Mungu,’ nitamwadhibu pamoja na jamaa yake yote. Kitu mnachopaswa kuulizana nyinyi kwa nyinyi ni ‘Mwenyezi-Mungu amejibu nini?’ au, ‘Mwenyezi-Mungu amesema nini?’

Soma Yeremia 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 23:34-35

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha