Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:18-19

Waebrania 11:18-19 BHN

ingawa Mungu alikuwa amemwambia: “Wazawa wako watatokana na Isaka.” Abrahamu aliamini kwamba Mungu anaweza kuwafufua wafu; na kwa namna fulani kweli Abrahamu alimpata tena mwanawe kutoka kwa wafu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha