Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 33:29

Kumbukumbu la Sheria 33:29 BHN

Heri yenu nyinyi Waisraeli. Nani aliye kama nyinyi, watu mliookolewa na Mwenyezi-Mungu, ambaye ndiye ngao ya msaada wenu, na upanga unaowaletea ushindi! Adui zenu watakuja wananyenyekea mbele yenu, nanyi mtawakanyaga chini.”