Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Sheria 28:13-14

Kumbukumbu la Sheria 28:13-14 BHN

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mtaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mkishika amri zake ambazo ninawapeni leo na kuwa waangalifu kuzitekeleza, bila kugeuka kulia au kushoto kuifuata miungu mingine na kuitumikia.

Video for Kumbukumbu la Sheria 28:13-14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Sheria 28:13-14