Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Mambo ya Nyakati 24:5

1 Mambo ya Nyakati 24:5 BHN

Waligawanywa kwa kura kwani kulikuwa na wakuu wa mahali patakatifu na viongozi wa kidini miongoni mwa koo zote mbili, yaani ukoo wa Eleazari na ukoo wa Ithamari.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Mambo ya Nyakati 24:5

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha