Kumbukumbu 33:27
Kumbukumbu 33:27 NENO
Mungu wa milele ni kimbilio lako, na chini kuna mikono ya milele. Atamfukuza adui yako mbele yako, akisema, ‘Mwangamize yeye!’