Yohane 1:50

Yohane 1:50 BHND

Yesu akamwambia, “Je, umeamini kwa kuwa nimekuambia kwamba nilikuona chini ya mtini? Utaona makubwa zaidi kuliko haya.”
BHND: Biblia Habari Njema
husisha wengine/jumuisha

Mipango ya Masomo na ibada za bure zinazohusiana na Yohane 1:50