Затоа, не плашете се; вие сте многу поскапоцени од јата врапчиња!“
Soma Maтеј 10
Shirikisha
Linganisha Matoleo Yote: Maтеј 10:31
9 Siku
Kila mtu ana Maoni yake ya a ulimwengu, ijapo iwapo anaelewa au haelewi! Kama Wakristo, kuwa na ufahamu wa kichujio kinachotumiwa kuuona ulimwengu ni muhimu sana kwa ukomeaji wetu wa kiroho, mtindo wa maisha na ushawishi. Kujifunza jinsi ya kufikiri kwa kina na kuchambua habari, iwe ni kutoka kwa vyombo vya habari au ni mazugumzo na wengine, kutatuwezesha kukabiliana na maswala magumu na hali ya maisha tukiwa na ujasiri!
Siku 30
Soma Biblia Kila Siku 04/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa nne pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Hosea na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu
Siku 29
Soma Biblia Kila Siku 02/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Esta. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu.
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!