Waroma 11:17-18
Waroma 11:17-18 SRB37
Lakini kama yako matawi yaliyovunjwa na kuondolewa, kisha wewe uliye mdanzi tu ukatiwa mahali pao, ukagawiwa fungu lako la shina na utomvu wa ule mchungwa, usijivune kwao yale matawi! Lakini ukijivuna ujue: si wewe unaolipa shina nguvu, ila shina linakupa nguvu wewe!



