Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateo 24:9-11

Mateo 24:9-11 SRB37

Hapo watatoa ninyi, mpate kuumizwa, hata kuuawa, tena mtachukiwa na makabila yote kwa ajili ya Jina langu. Hapo ndipo, wengi watakapokwazwa, watoane wenyewe kila mtu na mwenziwe kwa kuchukiana wao kwa wao. Hata wafumbuaji wa uwongo wengi watainuka na kupoteza wengi.

Soma Mateo 24