Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mateo 17:17-18

Mateo 17:17-18 SRB37

Yesu akajibu akisema: Enyi wa kizazi kisichomtegemea Mungu kwa kupotoka! Nitakuwapo nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni hapa, nilipo! Yesu alipomkaripia, pepo akamtoka; naye mtoto akapona tangu saa ileile.

Soma Mateo 17