Matendo ya Mitume 27:23-24
Matendo ya Mitume 27:23-24 SRB37
Kwani malaika wa Mungu wangu, ninayemtumikia, amesimama usiku huu hapo, nilipo, akasema: Usiogope, Paulo, wewe sharti usimame mbele ya Kaisari! Tena tazama, Mungu amekupa wote waliomo humu chomboni pamoja nawe.