Matendo ya Mitume 2:46-47
Matendo ya Mitume 2:46-47 SRB37
Kwa sababu mioyo yao ilikuwa mmoja tu, walikuwa pamoja kila siku hapo Patakatifu, wakamegeana mkate nyumba kwa nyumba wakipokea vyakula na kushangilia katika mioyo yao iliyowang'aa. Wakamsifu Mungu, wakawapendeza watu wote. Naye Bwana akawaongeza kila siku na kutia papo hapo wenye kuokoka.