Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo ya Mitume 2:44-45

Matendo ya Mitume 2:44-45 SRB37

Wao wote waliomtegemea Bwana walikuwa pamoja, navyo vyote wakavifanyia bia. Wakauza mali zao navyo vyote, walivyokuwa navyo, wakavigawia wote, kila mtu apate, kama alivyokosa.