Matendo ya Mitume 19:11-12
Matendo ya Mitume 19:11-12 SRB37
Mungu akaifanyisha mikono ya Paulo matendo ya nguvu yasiyokuwapo hata kale. Kwa hiyo watu waliitwa hata miharuma na mishipi ya mwilini pake, wakawapelekea wagonjwa; ndipo, magonjwa yao yalipowaacha nao pepo wabaya wakawatoka.