Matendo ya Mitume 1:4-5
Matendo ya Mitume 1:4-5 SRB37
Alipokwisha kuwakusanya akawaagiza, wasitoke Yerusalemu, ila wakingoje kiagio cha Baba, mlichokisikia kwangu; kwani Yohana alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa katika Roho takatifu, tena siku hizo zinazosalia ni chache tu.