Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 19:11-12

Matendo 19:11-12 SWZZB1921

Mungu akafanya kwa mikono ya Paolo miujiza ya kupita kawaida; hatta wagonjwa wakaletewa leso na nguo zilizogusa mwili wake, magonjwa yao yakawaondokea, pepo wachafu wakawatoka.

Soma Matendo 19

Video ya Matendo 19:11-12