Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 13:2

1 Wakorintho 13:2 SWZZB1921

Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama simi upendo, si kitu mimi.

Picha ya aya ya 1 Wakorintho 13:2

1 Wakorintho 13:2 - Tena nijapokuwa na unabii, na kujua siri zote na maarifa yote, nijapokuwa na imani timilifu kiasi cha kuweza kuhamisha milima, kama simi upendo, si kitu mimi.