Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Methali 7:2-3

Methali 7:2-3 SCLDC10

Zifuate amri zangu nawe utaishi; yalinde mafundisho yangu kama mboni ya jicho lako. Yafunge vidoleni mwako; yaandike moyoni mwako.

Soma Methali 7