Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 1:3-4

Gal 1:3-4 SCLDC10

Tunawatakieni neema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kutoka kwa Bwana Yesu Kristo. Kristo alijitoa mwenyewe kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na mapenzi ya Mungu wetu na Baba, ili apate kutuokoa katika ulimwengu huu mbaya wa sasa.

Soma Gal 1