Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezekieli 37:4-5

Ezekieli 37:4-5 SCLDC10

Naye akaniambia, “Toa unabii juu ya mifupa hii. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu. Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi.