Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 28:5-6

1 Sam 28:5-6 SCLDC10

Shauli alipoona jeshi la Wafilisti alianza kuogopa, akaanza kutetemeka kwa hofu aliyokuwa nayo moyoni mwake. Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii.

Soma 1 Sam 28