Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 23:16-17

1 Sam 23:16-17 SCLDC10

Yonathani mwana wa Shauli alimfuata Daudi huko Horeshi akamtia moyo kwamba Mungu anamlinda. Yonathani alimwambia, “Usiogope, baba yangu Shauli hatakupata. Wewe utakuwa mfalme wa Israeli, mimi nitakuwa wa pili wako. Hata Shauli baba yangu anajua jambo hili.”

Soma 1 Sam 23