Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:4-5

Warumi 12:4-5 TKU

Kila mmoja wetu anao mwili mmoja, na mwili huo una viungo vingi. Viungo hivi vyote havifanyi mambo yanayofanana. Kwa jinsi hiyo hiyo, sisi ni watu wengi, lakini kwa sababu ni wa Kristo, sote ni mwili mmoja. Sisi sote ni viungo vya mwili huo, na kila kiungo ni sehemu ya viungo vingine vyote.

Soma Warumi 12

Video ya Warumi 12:4-5