Wafilipi 2:14-15
Wafilipi 2:14-15 TKU
Fanyeni mambo yote pasipo kulalamika wala kubishana. Nanyi mtakuwa watoto wa Mungu wasiolaumiwa na wasio na hatia. Ijapokuwa mnaishi mkiwa mmezungukwa na watu wasio waaminifu wasiojali thamani haki. Katikati ya watu hao mnang'ara kama mianga katika ulimwengu wenye giza