Wafilipi 1:9-10
Wafilipi 1:9-10 TKU
Hili ndiyo ombi langu kwa ajili yenu: Ya kwamba mkue zaidi na zaidi katika hekima na ufahamu kamili pamoja na upendo; ya kwamba mjue tofauti kati ya kitu kilicho muhimu na kisicho muhimu ili muwe safi msio na lawama, mkiwa tayari kwa siku atakayokuja Kristo