Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 9:4-5

Matendo 9:4-5 TKU

Akadondoka chini na akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli! Kwa nini unanitesa?” Sauli akasema, “Wewe ni nani, Bwana?” Sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu, unayemtesa.

Soma Matendo 9