Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 2:38

Matendo 2:38 TKU

Petro akawaambia, “Geuzeni mioyo na maisha yenu na kila mmoja wenu abatizwe katika jina la Yesu Kristo. Ndipo Mungu atawasamehe dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu.

Soma Matendo 2

Picha ya aya ya Matendo 2:38

Matendo 2:38 - Petro akawaambia, “Geuzeni mioyo na maisha yenu na kila mmoja wenu abatizwe katika jina la Yesu Kristo. Ndipo Mungu atawasamehe dhambi zenu, na mtapokea zawadi ya Roho Mtakatifu.