Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 15:8-9

Matendo 15:8-9 TKU

Mungu anamfahamu kila mtu, hata mawazo yao, na amewakubali watu hawa wasio Wayahudi. Amelionyesha hili kwetu kwa kuwapa Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi. Mbele za Mungu, wasio Wayahudi hawako tofauti na sisi. Mungu aliisafisha mioyo yao walipoamini.

Soma Matendo 15

Video ya Matendo 15:8-9