Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:6-8

Wafilipi 2:6-8 BHNTLK

Yeye, kwa asili alikuwa daima Mungu; lakini hakufikiri kwamba kule kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kung'ang'ania kwa nguvu. Bali, kwa hiari yake mwenyewe, aliachilia hayo yote, akajitwalia hali ya mtumishi, akawa sawa na wanadamu, akaonekana kama wanadamu. Alijinyenyekesha na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:6-8