Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:3-4

Wafilipi 2:3-4 BHNTLK

Msifanye chochote kwa moyo wa fitina au kwa majivuno ya bure; muwe na unyenyekevu nyinyi kwa nyinyi, na kila mmoja amwone mwenzake kuwa bora kuliko yeye mwenyewe. Pasiwe na mtu anayetafuta faida yake mwenyewe tu bali faida ya mwenzake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:3-4