Wafilipi 2:14-15
Wafilipi 2:14-15 BHNTLK
Fanyeni kila kitu bila kunung'unika na bila ubishi, ili mpate kuwa watu safi, wasio na lawama, kama watoto wanyofu wa Mungu wanaoishi katika ulimwengu mbaya na uliopotoka. Mtang'ara kati yao kama nyota zinavyoliangaza anga