Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:9

Warumi 8:9 SRUV

Lakini ikiwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu, ninyi hamwufuati mwili; bali mwaifuata roho. Lakini mtu awaye yote asipokuwa na Roho wa Kristo, huyo si wake.

Soma Warumi 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 8:9

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha