Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:1-2

Warumi 10:1-2 SRUV

Ndugu zangu, nitakayo sana moyoni mwangu, na dua yangu nimwombayo Mungu, ni kwa ajili yao, ili waokolewe. Kwa maana nawashuhudia kwamba wana juhudi kwa ajili ya Mungu, lakini si katika maarifa.

Soma Warumi 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 10:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha