Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 99:7-9

Zaburi 99:7-9 SRUV

Akasema nao katika nguzo ya wingu. Wakashika shuhuda zake na amri aliyowapa. Ee BWANA, Mungu wetu, ndiwe uliyewajibu; Ulikuwa kwao Mungu mwenye kusamehe Ingawa uliwapatiliza matendo yao. Mtukuzeni BWANA, Mungu wetu; Sujuduni mkiukabili mlima wake mtakatifu; Maana BWANA, Mungu wetu, ni mtakatifu.

Soma Zaburi 99

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha