Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 31:1-3

Mithali 31:1-3 SRUV

Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake. Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu? Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

Soma Mithali 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 31:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha