Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 17:2-3

Mithali 17:2-3 SRUV

Mtumwa atendaye kwa busara atamtawala mwana atendaye mambo ya aibu; Tena atapata sehemu ya urithi kati ya ndugu. Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Bali BWANA huijaribu mioyo.

Soma Mithali 17