Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:29-30

Wafilipi 2:29-30 SRUV

Mpokeeni, basi, katika Bwana, kwa furaha yote, mkawahesabu watu kama huyu kuwa watu wa kuheshimiwa. Maana kwa ajili ya kazi ya Kristo alikaribia kufa akahatarisha roho yake ili kusudi aitimize huduma ambayo msingeweza kunitimizia.

Soma Wafilipi 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:29-30

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha