Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:25-26

Wafilipi 2:25-26 SRUV

Lakini niliona imenilazimu kumtuma kwenu Epafrodito, ndugu yangu, mfanyakazi pamoja nami, askari pamoja nami; tena ni mtume wenu na mhudumu wa mahitaji yangu. Kwa kuwa alikuwa na shauku kwenu ninyi nyote, akahuzunika sana, kwa sababu mlisikia ya kwamba alikuwa mgonjwa.

Soma Wafilipi 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 2:25-26

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha