Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:5-7

Mathayo 15:5-7 SRUV

Bali ninyi husema, Atakayemwambia babaye au mamaye, chochote kikupasacho nikusaidie kwacho nakitoa wakfu, basi asimheshimu baba yake au mama yake. Mkalitangua neno la Mungu kwa ajili ya mapokeo yenu. Enyi wanafiki, ni vema alivyotabiri Isaya kwa habari zenu, akisema

Soma Mathayo 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 15:5-7

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha