Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 14:13-14

Mathayo 14:13-14 SRUV

Naye Yesu aliposikia hayo, aliondoka huko katika mashua, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao. Yesu akatoka, akaona mkutano mkuu, akawahurumia, akawaponya wagonjwa wao.

Soma Mathayo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 14:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha