Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 12:1-2

Mathayo 12:1-2 SRUV

Wakati ule Yesu alipita katika mashamba siku ya sabato; wanafunzi wake wakaona njaa, wakaanza kuvunja masuke, wakala. Na Mafarisayo walipoona, walimwambia, Tazama! Wanafunzi wako wanafanya jambo ambalo si halali kulifanya siku ya sabato.

Soma Mathayo 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 12:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha