Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 2:46-47

Luka 2:46-47 SRUV

Ikawa baada ya siku tatu wakamwona hekaluni, ameketi katikati ya waalimu, akiwasikiliza na kuwauliza maswali. Nao wote waliomsikia walistaajabia fahamu zake na majibu yake.

Soma Luka 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 2:46-47

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha